Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa (Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora) akiwaongoza Kardinali Fridolin Besungu (Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Kinshasa, Congo DRC) na Kardinali Antoine Kambanda (Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Kigali nchini Rwanda) wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Askofu Mkuu Mstaafu wa Dar es Salaam.
Post a Comment